Pata taarifa kuu

Darwin Nunez ajiunga na kikosi cha Liverpool

Klabu ya Liverpool nchini Uingereza imemsajili mshambuliaji wa timu ya taifa ya Uruaguay Darwin Nunez, kutoka klabu ya Benfica nchini Ureno.

Darwin Nunez anakuja katika klabu yake mpya akiwa na rekodi ya kuifungia Benfica mabao 34.
Darwin Nunez anakuja katika klabu yake mpya akiwa na rekodi ya kuifungia Benfica mabao 34. © LUSA - JOSÉ SENA GOULÃO
Matangazo ya kibiashara

Darwin Nunez anajiunga na Liverpool kwa mkataba wa miaka sita na amesajiliwa kwa Pauni Milioni  64. 

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 anakuja katika klabu yake mpya akiwa na rekodi ya kuifungia Benfica mabao 34 katika mechi 41 alizocheza, msimu uliopita.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.