Costa Rica yaibamiza New Zealand bao 1-0
Timu ya taifa ya soka ya Costa Rica, imekuwa ya mwisho kufuzu katika michchuano ya kombe la dunia, itakayofanyika kuanzia mwezi Novemba nchini Qatar, baada ya kuifunga New Zealand bao 1 kwa 0, bao ambalo lilifungwa na mchezaji wa zamani wa Arsenal, Joel Campbell katika dakika ya tatu ya mchuano huo.
Imechapishwa: Imehaririwa:
Costa Rica, sasa imejiunga na Uhispania, Ujerumani na Japan katika kundi moja ambalo linaonekana gumu katika michuano hiyo.
Makundi:
Group A: Qatar, Ecuador, Senegal, Netherlands
Group B: England, Iran, USA, Wales
Group C: Argentina, Saudi Arabia, Mexico, Poland
Group D: France, Australia, Denmark, Tunisia
Group E: Spain, Costa Rica, Germany, Japan
Group F: Belgium, Canada, Morocco, Croatia
Group G: Brazil, Serbia, Switzerland, Cameroon
Group H: Portugal, Ghana, Uruguay, South Korea