Pata taarifa kuu

Sadio Mane: Siko tayari kuondoka Liverpool kwa sasa.

Mshambiliaji wa timu ya taifa ya Senegal na klbau ya Liverpool ya nchini uingereza Sadio Mane, anasema kuwa yuko sawa na timu yake ya sasa wakati huu tetesi za uhamisho wa wachezaji zikimuhusisha na timu Bayern Munich ya Ujerumani na Barcelona ya Hispania. Β 

Sadio Mane wa Liverpool
Sadio Mane wa Liverpool POOL/AFP/File
Matangazo ya kibiashara

Mkataba wa Mane mwenye umri wa 30 unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu ujao alikuwa kiungo muhimu katika mechi ya ligi kuu dhidi ya Aston ya jumanne 10 mechi ambayo Liverpool walipata ushindi na kufufua matumaini ya kunyakua ubingwa mwa ligi ya EPL.

Liverpool wanapointi sawa la Manchester City, wanaokutana Jumatano 11 na Wolverhampton Wanderers.

Kocha ya Liverpool, Jurgen Klopp, Atakuwa makini sana kumhifadhi Mane katika kambi yake kutokana na mchango wake mkubwa kwenye kikosi.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.