Pata taarifa kuu
AFCON-SOKA

Kikosi cha timu ya taifa ya Guinea Bisaau chatangazwa

Kocha wa timu ya taifa ya soka Guinea Bisaau, Baciro Cande amekitaja kikosi cha wachezaji 24, watakaoshiriki kwenye michuano ya soka, kuwa,nia taji la Mataifa ya Afrika AFCON kuanzia Januari 9 nchini Cameroon.

timu ya taifa ya soka ya Guinea Bisaau.
timu ya taifa ya soka ya Guinea Bisaau. © AFP - FADEL SENNA
Matangazo ya kibiashara

Wachezaji wengi wanacheza soka ya kulipwa nchini Ureno.

Guinea Bissau wamepangwa katika kundi la D na mabingwa mara sana, Misri, mabinhwa mara tatu Nigeria na Sudan iliyonyakua taji hilo mwaka 1970.

Makipa: Jonas Mendes (Beira Mar, Ureno), Maurice Gomis (Ayia Napa FC, Cyprus), Manuel Mama Samba Balde (Vizela, Ureno).

Mabeki: Nanu (FC Porto, Ureno), Fali Cande (Portimonense, Portugal), Sori Mane (Moreirense, Ureno), Leonel Ucha (Marinhense, Ureno), Simao Junior (Vilafranquense, Ureno), Opa Sangatte (Chateauroux, Ufaransa), Jefferson Encada (Leixoes, Ureno), Fernandy Mendy (Alloa Athletic, Scotland).

Wachezaji wa kati: Pele (AS Monaco, France), Bura (Ufaransa, Ureno), Joao Jaquite (Vilafranquense, Ureno), Moreto Cassama (Stade de Reims, Ufaransa), Alfa Semedo (Vitoria Guimaraes, Portugal), Panutche Camara (Plymouth Argyle, Uingereza).

Washambuliaji: Mama Balde (Troyes, Ufaransa), Piqueti (Al Shoulla, Saudi Arabia), Jorginho (Wisla Plock, Poland), Mauro Rodrigues (Sion, Switzerland), Joseph Mendes (Niort, Ufaransa), Steve Ambri (Sochaux, Ufaransa), Frederic Mendy (Vitoria Setubal, Ureno).

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.