Pata taarifa kuu
EURO 2020-MATOKEO-RATIBA

Soka: Matokeo na ratiba ya michuano ya Euro 2020

Michuano ya soka, kuwania taji la bara Ulaya, inaendelea kurindima katika viwanja mbalimbali. Tunakuletea matokeo na baadhi ya ratiba ya michuano hiyo wiki hii.

Timu ya taifa ya Uhispania ikifanya mazoeazi kuelekea mechi yao muhimu
Timu ya taifa ya Uhispania ikifanya mazoeazi kuelekea mechi yao muhimu PIERRE-PHILIPPE MARCOU AFP
Matangazo ya kibiashara

MATOKEO

Ijumaa Juni 11 2021

Uturuki  0 - 3 Italia

 

Jumamosi Juni12 2021

Wales 1-1 Uswizi

Denmark 0 - 1 Finland

Ubelgiji  3 - 0 Urusi

 

Jumapili Juni 13 2O21

Uingereza 1 - 0 Croatia

Austria 3 - 1 Macedonia Kaskazini

Uholanzi 3 - 2 Ukraine

 

RATIBA

Jumatatu Juni 14 2021

Scotland vs  Jamhuri ya Czech

Poland vs Slovakia

Uhispania vs Sweden

 

Jumanne Juni 15 2021

Hungary vs Ureno

Ufaransa vs Ujerumani

 

Jumatano Juni 16 2021

Finland vs Urusi

Uturuki vs Wales

Italia vs Uswizi

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.