Pata taarifa kuu
FIFA-KOMBE LA DUNIA-URUSI

Hispania, Ureno zatinga hatua ya mwondoano Kombe la dunia

Uhispania na Ureno ziliungana na Uruguay na wenyeji Urusi kufuzu hatua yaa 16 bora ya fainali za kombe la Dunia.

Christiano Ronaldo ameiwezesha Ureno kufuzu hatua ya 167 bora kwa kufunga mabao manne
Christiano Ronaldo ameiwezesha Ureno kufuzu hatua ya 167 bora kwa kufunga mabao manne REUTERS/Ueslei Marcelino
Matangazo ya kibiashara

Hispania ilihitaji bao laa dakika za mwisho laa Iago Aspas ili kupata sare ya mamabo 2-2 dhidi ya Morocco iliyoongoza kwa muda mrefu.

Iran, licha ya kuibana Ureno dakika nyingi za mchezo ilipaata sare ya bao 1-1 huku mchezaji bora duniani Christiano Ronaldo akipoteza mkwaju wa penati.

Kwa matokeo hayo, Ureno itavaana na Uruguay iliyomaliza ya kwanza katika kundi A wakati Urusi itachuana na Hispania, mechi za 16 bora.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.