Pata taarifa kuu
FIFA-TUZO

Pierre-Emerick Aubameyang miongoni mwa wachezaji wanaotafuta taji la FIFA

Mshambuliaji wa Kimatafa wa wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang anayechezea klabu ya Borussia Dortmund nchini Ujerumani na kocha wa timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Nigeria, Florence Omagbemi ndio waafrika pekee waliorodheshwa kuwania taji la FIFA mwaka huu.

Mshambuaji wa Borrua Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang
Mshambuaji wa Borrua Dortmund Pierre-Emerick Aubameyang Reuters / Michael Dalder
Matangazo ya kibiashara

Aubameyang ni miongoni mwa wachezaji 24 wanaowania taji hilo kwa upande wa wanaume.

Msimu uliopita, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 aliifungia klabu yake mbao 31.

Kocha Omagbemi naye aliiongoza Nigeria kushinda taji la 10 la bara Afrika nchini Cameroon mwaka uliopita, ni miongoni mwa makocha 10 wanaotafuta taji hilo kwa upande wa wanawake.

Orodha ya wachezaji wanaowania taji la FIFA (Wanaume):

Pierre Aubameyang (Gabon, Borussia Dortmund)

Leonardo Bonucci (Italia, AC Milan)

Gianluigi Buffon (Italia, Juventus)

Daniel Carvajal (Uhispania, Real Madrid)

Paulo Dybala (Argentina, Juventus)

Antoine Griezmann (Ufaransa, Atletico Madrid)

Eden Hazard (Ubelgiji, Chelsea)

Zlatan Ibrahimovic (Sweden, Manchester United)

Andres Iniesta (Uhispania, Barcelona)

Harry Kane (Uingereza, Tottenham Hotspur)

N'Golo Kante (Ufaransa, Chelsea)

Toni Kroos (Ujerumani, Real Madrid)

Robert Lewandowski (Poland, Bayern Munich)

Marcelo (Brazil, Real Madrid)

Lionel Messi (Argentina, Barcelona)

Luka Modric (Croatia, Real Madrid)

Keylor Navas (Costa Rica, Real Madrid)

Manuel Neuer (Ujerumani, Bayern Munich)

Neymar (Brazil, Paris St Germain)

Sergio Ramos (Uhispania, Real Madrid)

Cristiano Ronaldo (Ureno, Real Madrid)

Alexis Sanchez (Chile, Arsenal)

Luis Suarez (Uruguay, Barcelona)

Arturo Vidal (Chile, Bayern Munich)

Tuzo la kocha bora kwa upande wa wanaume:

Massimiliano Allegri (Juventus/Italia)

Carlo Ancelotti (Bayern Munich/Ujerumani)

Antonio Conte (Chelsea/Uingereza)

Luis Enrique (Barcelone/Uhispania)

Pep Guardiola (Manchester City/Uingereza

Leonardo Jardim (Monaco/Ufaransa)

Joachim Loew (Ujerumani)

Jose Mourinho (Manchester United/Uingereza)

Mauricio Pochettino (Tottenham Hotspur/Uingereza)

Diego Simeone (Atletico Madrid/Uhispania)

Tite (Brazil)

Zinedine Zidane (Real Madrid/Uhispania)

Tuzo la kocha bora kwa upande wa wanawake:

  • Olivier Echouafni (Ufaransa)
  • Emma Hayes (Uingereza, Chelsea)
  • Ralf Kellermann (Ujerumani, Wolfsburg)
  • Xavi Llorens (Uhispania, Barcelona)
  • Nils Nielsen (Denmark)
  • Florence Omagbemi (Nigeria)
  • Gerard Precheur (Ufaransa, Lyon)
  • Dominik Thalhammer (Austria)
  • Sarina Wiegman (Uholanzi)
  • Hwang Yong-Bong (Korea Kaskazinia chini ya miaka 20

)

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.