Pata taarifa kuu
RAGA-MICHEZO

Raga: Mike Phillips atangaza kustaafu kwake kimataifa

Mike Phillips ameustaafu kimataifa akiwa na umri wa 33, ametangaza mwenyewe katika mahojiano na BBC Jumanne hii katika makala itakayorushwa Jumatatu ya wiki ijayo.

Mchezaji wa timu ya taifa ya Wales, Mike Phillips akiokoa mpira dhidi ya Toulouse, Desemba 28, 2014katika mji wa Ernest-Wallon.
Mchezaji wa timu ya taifa ya Wales, Mike Phillips akiokoa mpira dhidi ya Toulouse, Desemba 28, 2014katika mji wa Ernest-Wallon. AFP/AFP/Archives
Matangazo ya kibiashara

Awali alitengwa katika timu ya taifa ya Wales kwa Kombe la Dunia mwaka 2015 kabla ya kufukuzwa ili kufidia jeraha la Rhys Webb. Phillips alicheza mechi 94 katika klabu ya XV Poireau tangu mwaka 2003 na mechi tano zingine katika klabu ya Simba wa Uingereza.Hata hivyo hakucheza mechi hata moja wakati michuano.

"Hii ni fursa ya kufuika ukurasa wa maisha yangu na kufungua mwingine. Kucheza kwa klabu ya Wales ilikuwa sehemu kubwa ya maisha yangu tangu nilipokuwa na umri wa miaka 20 na 21", Mike Phllips amesema.

Akiichezea timu ya taifa tangu mwezi Novemba mwaka 2014, Phillips alicheza sehemu muhimu katika klabu ya Grands Chelems mwaka 2008 na 2012 na wakati wa ushindi katika Michuano ya mataifa sita mwaka 2013.

Kabla ya kujiunga na Ufaransa mwaka 2011 katika klabu ya Bayonne, na katika Racing 92 tangu mwaka 2013, alicheza katika Scarlets, Ospreys na Cardiff kutoka mikoa mitatu ya Wales.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.