Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Equitorial Guinea yapewa jukumu la kuandaa michuano ya soka barani Afrika 2015

Imechapishwa:

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo, tunajadili hatua ya Equatorial Guinea kupewa wenyeji wa kombe la mataifa bingwa barani Afrika mapema mwaka ujao baada ya Morroco kujiondoa kwa sababu ya hofu ya ugonjwa hatari wa Ebola. 

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.