Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa michezo barani Afrika

Imechapishwa:

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo, tunachambua kilichojiri barani Afrika ambapo ni pamoja na mazishi ya Nahodha wa timu ya taifa ya soka ya Afrika Kusini Senzo Meyiwa, vlabu vya soka vya Gor Mahia na Sofapaka FC zinawania nafasi za kunyakua ligi kuu ya soka nchini  Kenya, humo na mchezo wa kukimbiza Baiskeli nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. 

Nahodha wa timu ya taifa ya soka ya Afrika Kusini Senzo Meyiwa
Nahodha wa timu ya taifa ya soka ya Afrika Kusini Senzo Meyiwa AFP PHOTO / KHALED DESOUKI
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.