Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Uchambuzi wa soka: Kombe la dunia Brazil 2014

Imechapishwa:

Jumapili hii katika Jukwaa la Michezo tunaendelea na uchambuzi wa michuano ya soka ya kombe la dunia nchini Brazil baaada ya Nigeria kuifunga Bosnia na Hergovina bao 1 kwa 0 na Ghana kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 na Ujerumani.Je, kuna matumaini ya Afrika kufika mbali katika michuano hii ?Sikiliza kupata uchambuzi zaidi.

Wachezaji wa Nigeria washangilia bao dhidi ya Bosnia and Herzegovina
Wachezaji wa Nigeria washangilia bao dhidi ya Bosnia and Herzegovina REUTERS/Suhaib Salem
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.