Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Azam FC yanyakua ubingwa wa soka Tanzania bara

Imechapishwa:

Klabu ya soka ya Azam FC ndio mabingwa wa soka Tanzania bara na kuwapiku mabingwa watetezi Yanga na Simba ambao wamekuwa wakinyakua taji hilo kwa muda mrefu.Tunajadili ushindi huu wa Azam FC katika Jukwaa la Michezo.

Azam FC mabingwa wa ligi kuu ya soka  Tanzania bara 2014
Azam FC mabingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania bara 2014 Azam FC
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.