Pata taarifa kuu
AUSTRALIA OPEN 2012

Michuano ya tenesi ya Australia Open yashika kasi

Victoria Azarenka amefanikiwa kusonga mbele kwenye michuano ya Australian Open baada ya kuchomoza na ushindi wa seti mbili kwa moja dhidi ya Elena vesnina kwa matokeo ya 6-1 na 6-1. 

Angelique Kerber
Angelique Kerber Reuters
Matangazo ya kibiashara

Svetlana Kuznetosva yeye alifanikiwa pia kusonga mbele kwenye michuano hiyo baada ya kufanikiwa kuchomoza na uchindi wa seti mbili kwa moja dhidi ya Caroline Wozniack kwa matokeo ya 2-6, 6-2 na 75.

Baadae hii leo Serena Williams atakuwa na kibarua dhidi ya Maria Kirilenko, wakati Ekaterina Makarova atakuwa na kibarua dhidi ya Maria Sharapova kwenye michezo ambayo inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Kwa upande wa wanaume Novak Djokovich alifanikiwa kumshinda Stanislas Wawrinka, wakati wakati Thomas Berdiyich akichomoza na ushindi dhidi ya Kevin Anderson.

 

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.