Pata taarifa kuu
Ulaya

Madrid, Manchester City, AC Milan vyashindwa katika Michuano ya makundi ya UEFA

Real Madrid, Manchester City, Arsenal na AC Milan ni vilabu vyenye majina makubwa barani Ulaya vilivyoshindwa katika michuano ya Jumatano ya makundi kuwania taji la klabu bora barani Ulaya UEFA.

Matangazo ya kibiashara

Matumaini ya Manchester City kufuzu katika awamu ya mtoano iligonga mwamba jana usiku baada ya kufungwa na Ajax FC ya Uholanzi kwa mabao 3 kwa 1 licha ya kuanza mchuano huo kwa nguvu na kupata bao la ufunguzi.

Borrusssi dortmund ya Ujerumani nayo iliifunga Real Madrid ya Uhispania mabao 2 kwa 1

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.