Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Marekani na washirika wake wapania kuwadhibiti wapiganaji wa kijihadi Iraq na Syria

Imechapishwa:

Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa mpango wake mpya wa kukabiliana na wapiganaji wa kijihadi ulioidhinishwa na Bunge la Congress utasaidia kulisambaratisha kundi la Islamic State linaendeleza mashambulizi ya kigaidi katika nchi za Iraq na Syria. Ungana na Victor Robert Wile katika makala haya ya Wimbi la Siasa upate majibu ya maswali kuhusu suala hilo........

Barack Obama rais wa Marekani
Barack Obama rais wa Marekani REUTERS/Larry Downing
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.