Wimbi la Siasa
Juhudi za kikanda ili kukabiliana na mapinduzi ya kijeshi Afrika magharibi
Imechapishwa:
Cheza - 09:59
Wimbi la siasa imeangazia yaliyojiri nchini Niger baada ya maafisa wa jeshi kumng’atusha madarakani Mohammed Bazoum aliyechaguliwa chini ya misingi ya kidemokrasia, hali inayoendelea kwa sasa pamoja na juhudi za Ecowass kutaka kurejeshwa kwa utawala wa kiraia, na kuachiwa huru kwa rais Bazoum. Kuchambua hili wachambuzi Mali Ali akiwa kwenye Visiwa vya Mayote, pamoja na Hajji Kaburu akiwa jijini Daresalaam nchini Tanzania.