Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Sudan: Majenerali waendelea kupimana nguvu licha ya juhudi za kidiplomasia

Imechapishwa:

Wiki hii kwenye Makala wimbi la siasa, Jupiter Mayaka anafanya mwendelezo wa mzozo unaoendelea nchini Sudan, wakati huu hali ya kibinadamu ikizidi kuwa mbaya, kutokana na raia kuuawa na misaada kutowafikia waathiriwa.

General Abdel Fattah al-Burhan (L) na Jenerali Mohamed Hamdan Daglo (R)
General Abdel Fattah al-Burhan (L) na Jenerali Mohamed Hamdan Daglo (R) © RFI
Matangazo ya kibiashara

Juhudi za kidiplomasia zinaendelea kutoka ukanda na kimataifa, ili kuwapatanisha mkuu wa jeshi la Sudan, jenerali Abdel Fattah al-Burhan na naibu wake, Mohammed Hamdan Daglo maarufu Hemedti ambaye ni kiongozi wa kikosi cha RSF.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.