Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Harakati za chama cha upinzani nchini Kenya

Imechapishwa:

Makala haya ya Wimbi la siasa, juma hili  tunapigia darubini siasa za upinzani zinazoendelezwa nchini Kenya. Juma lililopita, kinara wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, alitangaza kuitisha maandamano ya nchi nzima ndani ya siku 14 zijazo, ikiwa matakwa ya muungano wao wa Azimio hayatatekelezwa ikiwemo kushusha gharama ya maisha kwa raia. 

Raila Odinga, kinara wa chama cha upinzani nchini Kenya
Raila Odinga, kinara wa chama cha upinzani nchini Kenya AFP - YASUYOSHI CHIBA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.