Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Maafisa wa usalama nchini Ethiopia watekeleza visa vya uhalifi wa kivita

Imechapishwa:

Maafisa wa usalama nchini wametekeleza visa vya uhalifu wa kivita na ukiukwaji wa haki wa binadamu dhidi ya Watigray Kaskazini mwa nchi hiyo, kwa mujibu wa ripoti ya pamoja iliyotolewa  na Mashirika mawili ya Kimataifa, Amnesty International na  Human Rights Watch. Tunajadili hili.

Mwanajeshi wa Ethiopia akiwa katika eneo la vita, jimboni Tigray.
Mwanajeshi wa Ethiopia akiwa katika eneo la vita, jimboni Tigray. AFP - EDUARDO SOTERAS
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.