Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Kenya: Rais Uhuru Kenyatta amwidhinisha Raila Odinga

Imechapishwa:

Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kumuunga mkono kiongozi wa upinzani wa muda mrefu Raila Odinga kuwa mrithi wake, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9. Hatua hii imekuja baada ya Kenyatta, kumtema naibu wake William Ruto ambaye amesema kiongozi huyo wa nchi, amemhadaa kisiasa. Tunachambua.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga akiwa na rais Uhuru Kenyatta kwenye mkutano wa kisiasa jijini Nairobi, Machi 12 2022
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga akiwa na rais Uhuru Kenyatta kwenye mkutano wa kisiasa jijini Nairobi, Machi 12 2022 © THOMAS MUKOYA/REUTERS
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.