Pata taarifa kuu
Wimbi la Siasa

Joto la kisiasa laendelea kupanda nchini Kenya kuelekea Uchaguzi wa Agosti

Imechapishwa:

Tunaangazia joto la kisiasa, linaloendelea kupanda nchini Kenya, kuelekea Uchaguzi Mkuu mwezi Agosti mwaka huu. Wakenya watamchagua rais wao wa tano, baada ya Uhuru Kenyatta ambaye anaondoka madarakani.Kinyanganyiro kinatarajiwa kuwa kati ya kiongozi wa muda mrefu wa upinzani na aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga na naibu rais William Ruto.

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga  alipotangaza kuwania urais Desemba 10 2021
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga alipotangaza kuwania urais Desemba 10 2021 AFP - SIMON MAINA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.