Pata taarifa kuu
Siha Njema

Hofu kuhusu hatma ya mchakato wa amani DRC unaoratibiwa na AU

Imechapishwa:

Umoja wa mataifa umeonya uwezekano wa kuibuka vita kati ya DRC na Rwanda

João Lourenço,  rais wa  Angola.
João Lourenço, rais wa Angola. © AMPE ROGERIO/LUSA
Matangazo ya kibiashara

Rwanda na DRC zimeendelea kulaumiana kuhusu hali mbaya ya usalama mashariki mwa DRC. Rwanda imeongeza usalama katika mipaka yake na DRC baada ya raia wake kujeruhiwa na risasi iliyotokea upande wa Congo.

Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.