Pata taarifa kuu
Siha Njema

Watu wengi wanajikuta na magonjwa ya figo na ini,watoto wengi Sudan wakiaga

Imechapishwa:

Kuna ongezeko la magonjwa ya figo na ini kwa mujibu wa shirika la afya duniani

WHO inaonya kuhusu ongezeko la magonjwa ya figo na ini
WHO inaonya kuhusu ongezeko la magonjwa ya figo na ini © AP - Daniel Cole
Matangazo ya kibiashara

WHO inabashiri kuwa ongezeko hilo litakuwa juu zaidi kufikia mwaka 2030 ,hali hii ikichangiwa na hali ya maisha haswa ya raia katika nchi zinazoendelea

Ugonjwa wa ini maarufu Hepatitis pia ni tishio kubwa haswa kwa raia wa Afrika ambayo inachangia asilimia 63 ya visa vya Hepatatis

Nchini Sudan watoto wengi haswa walio chini ya umri wa miaka mitano wanazidi kupoteza maisha kutokana na utapiamlo unaohusishwa na ukosefu msaada  wa kibinadaam wakati huu vita vikiendelea kurindima

Vipindi vingine
  • 10:25
  • 09:55
  • 09:59
  • 10:23
  • 10:14
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.