Pata taarifa kuu
Siha Njema

Mpango wa afya kwa wananchi wa Zanzibar

Imechapishwa:

Zanzibar inaanza kutekeleza mpango wa mfuko wa bima wa afya kwa raia wote kupata huduma za afya bila malipo.

© courtesy
Matangazo ya kibiashara

Waziri wa Afya, Nassor Ahmed Mazrui anasisitiza  ndio njia pekee itakayowawezesha Wananchi wote yakiwamo makundi yasiyokuwa na uwezo kufaidika na huduma za Afya kikamilifu.

Vipindi vingine
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.