Pata taarifa kuu
Siha Njema

Mashirika ya kiraia yanavyopambana na unyanyapaa dhidi ya watu wanaoishi na virusi vya HIV Kenya

Imechapishwa:

Unyanyapaa na ukosefu wa usawa kwenye mikakati ya kupambana na HIV ni baadhi ya sababu zinazorudisha nyuma mapambana kushinda UKIMWI

Wakazi wa eneo la Kibera jijini Nairobi
Wakazi wa eneo la Kibera jijini Nairobi REUTERS/Thomas Mukoya
Matangazo ya kibiashara

Katika mtaa wa Kibera ,jijini Nairobi Kenya ,mashirika ya kiraia yanawasaidia watu wanaoishi na virusi vya HIV kuishi maisha ya kawaida.Victor Moturi amezungumza na wakaazi wa Kibera wanaonufaika na mpango wa Mentor Mother

Vipindi vingine
  • 10:25
  • 10:09
  • 09:55
  • 09:59
  • 10:23
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.