Pata taarifa kuu
Siha Njema

WHO yasambaza chanjo ya Ebola Uganda ,utapiamlo ukiendelea kuwa Sugu Nigeria na nchi za Afrika

Imechapishwa:

Shirika la afya duniania WHO limesambaza tayari dozi kadhaa za chanjo ya Ebola nchini Uganda. Na katika mataifa kadhaa ya Afrika yakiwemo Nigeria ,Kenya ,utapia mlo unaendelea kushuhudiwa.

 Umoja wa mataifa ,umesema asilimia 71   ya  raia ,Nchini Sudan wana njaa.
Umoja wa mataifa ,umesema asilimia 71 ya raia ,Nchini Sudan wana njaa. © World Food PRogramme, via Reuters
Matangazo ya kibiashara

Katika Makala haya ,tumeangazia shughuli ya kuchoma chanjo ya Ebola nchini Uganda. Vile vile hali ya baa la njaa nchini Nigeria na mataifa ya Pembe ya Afrika  ,Afrika Mashariki ambapo hali hiyo imesababisha kuongezeka visa vya utapia mlo. Nchini Nigeria ,majimbo yanayokabiliwa na mashambulio ya makundi ya kijihadi ,yameathirika zaidi.

Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.