Pata taarifa kuu
Siha Njema

Kuzalishwa kwa Vyakula vya GMO nchini Kenya,watalam wakinzana

Imechapishwa:

Katika kujaribu kuimarisha usalama wa chakula nchini Kenya ,serikali iliondoa maarufuku ya uzalishaji na uagizaji wa vyakula vya GMO.

Maandamano dhidi ya vyakula vya GMO mbele ya bunge la kitaifa Ufaransa
Maandamano dhidi ya vyakula vya GMO mbele ya bunge la kitaifa Ufaransa (Photo : Reuters)
Matangazo ya kibiashara

Serikali ya Kenya miezi michache ,iliyopita iliidhinisha kuzalishwa na kuagizwa kwa vyakula vinavyozalisha kwa njia ya kisayansi ,GMO ,kuliziba pengo la uhaba wa chakula.Watalaam ,wasayansi wamekuwa wakilumbana kuhusu usalama wa vyakula hivyo na mahakama ya Kenya kwa sasa imeharamisha amri hiyo ya serikali.

Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.