Pata taarifa kuu
Siha Njema

Madhara ya madini ya lead nchini Nigeria na Kenya.

Imechapishwa:

Makala ya wiki iliyopita iliangazia madhara ya madini ya lead nchini Nigeria na Kenya. Nchini Nigeria watoto zaidi ya mia 600 kutoka Zamfara na Niger walifariki dunia miaka 12 iliyopita na kumekuwa na Β kusafisha mazingira kuondoa simu ya Lead na kutoa matibabu kwa waathiriwa.

Daktari wa MSF akitoa huduma kwa mtoto aliyeathirika na Lead  katika hospitali ya Bukkuyum de Gusau, katika jimbo la Zamfara
Daktari wa MSF akitoa huduma kwa mtoto aliyeathirika na Lead katika hospitali ya Bukkuyum de Gusau, katika jimbo la Zamfara AFP/Pius Utomi Ekpei
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.