Pata taarifa kuu
Siha Njema

Tatizo la utapiamlo nchini Chad

Imechapishwa:

Makala ya Siha Njema juma hili,yanaangazia hali ya utapiamlo nchini Chad,ikiwa imeorodheshwa na shirika la umoja wa mataifa linashughulikia watoto,UNICEF kuwa miongoni mwa mataifa yenye idadi kubwa ya watoto ,wanawake wajawazito na wanaonyonyesha wanaokabiliwa na maradhi ya utapiamlo.

Mama na mtoto nchini Senegal,ni miongoni mwa nchi ambazo zinaathiriwa na utapia mlo
Mama na mtoto nchini Senegal,ni miongoni mwa nchi ambazo zinaathiriwa na utapia mlo AP - Rebecca Blackwell
Vipindi vingine
  • 10:14
  • 10:20
  • 08:40
  • 10:25
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.