Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mapinduzi Gabon, moto Afrika Kusini, siasa na usalama DRC na masaibu ya Trump

Imechapishwa:

Mambo ambayo yamegonga vichwa vya habari ni pamoja na mapinduzi ya Gabon na kiongozi kuteuliwa amabye anatarajiwa kuapishwa Jumatatu ya Septemba 4, pia tuaangalia mapinduzi katika nchi jirani ya Niger, vilevile kisa cha kusikitisha cha moto nchini Afrika Kusini uliogharimu maisha ya zaidi ya watu 70.

Bango lililoharibiwa linaloonyesha Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba, Libreville, Gabon, Agosti 30, 2023
Bango lililoharibiwa linaloonyesha Rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba, Libreville, Gabon, Agosti 30, 2023 © Yves Laurent / AP
Matangazo ya kibiashara

Kadhalika tutaangalia kuteuliwa kwa rais wa DRC Felix Tschisekedi kupeperusha bendera ya cha UPDS katika uchaguzi wa Disemba na tunavuka Tanzania ambapo rais Samia Suluhu alifanya mabadiliko katika baraza lake na kusema kuwa hatua hiyo si adhabu.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.