Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Bunge la Angola laidhinisha kupelekwa kwa wanajeshi DRC, maandamano nchini Kenya

Imechapishwa:

Miakala hii imeangazia hatua ya bunge la Angola kuidhinisha kutumwa kwa wanajeshi 500 wa nchi hiyo mashariki mwa DRC, hali ya wasiwasi nchini Kenya, kufuatia wito wamaandamano kupinga ugumu wa maisha kama ulivyoitishwa na kinara wa upinzani wa Azimio Raila Odinga, watu zaidi ya 300 wauawa na kuwaacha maelfu bila makaazi katika kimbunga Freddy kule Malawi, kesi ya mwanasiasa wa upinzani Ousmane sonko kule Senegal, mvutano kuhusu suala la mageuzi ya pensheni nchini Ufaransa, ni miongoni mwa mengi utakayoyasikia.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kupata mengi zaidi.

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi akipokelewa na mwenzake wa Angola João Lourenço, mjini Luanda, Februari 5, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi akipokelewa na mwenzake wa Angola João Lourenço, mjini Luanda, Februari 5, 2019. LUSA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.