Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mkutano wa EAC kuhusu DRC, Commonwealth Kigali, na siasa za Ufaransa

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia mkutano wa viongozi wa Afrika mashariki jijini Nairobi wakijadili hali ya usalama wa eneo la mashariki ya DRC, kongamano la kimataifa la jumuia ya madola/Commonwealth jijini Kigali nchini Rwanda, watu zaidi ya 100 waliuawa na wanajihadi huko Mali, na huko Ufaransa chama cha Rais Emmanuel Macron kilipata pigo kubwa kwa kukosa ushindi katika uchaguzi wa wabunge nchini humo.Kupata mengi zaidi, ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka

Rais wa DRC Félix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake wa Kenya Uhuru Kenyatta punde baada ya kuwasili jijini Nairobi Kenya, aprili 21 2022
Rais wa DRC Félix Tshisekedi akiwa na mwenyeji wake wa Kenya Uhuru Kenyatta punde baada ya kuwasili jijini Nairobi Kenya, aprili 21 2022 © Presidence Nairobi
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.