Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Viongozi wa nchi za Jumuia ya Afrika mashariki na usalama wa DRC, kifo cha Kibaki Kenya

Imechapishwa:

Tumekukusanyia mengi katika Makala hii, utasikia mkutano wa Viongozi wa Nchi za Jumuia ya Afrika mashariki kuhusu Usalama wa Mashariki mwa DRC, kifo cha Rais wa Tatu wa Kenya MWAI KIBAKI pia Kura za mchujo katika vyama vya kisiasa nchini humo kuelekea uchaguzi mkuu wa Agosti, lakini pia Uchaguzi wa duru ya pili nchini Ufaransa Jumapili ya tarehe 24 Aprili mwaka huuKwa Hayo na mengine mengi, andamana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka

Rais wa DRC Félix Tshisekedi akikaribishwa na mwenyeji wake rais wa Kenya Uhuru Kenyatta jijini Nairobi Kenya, aprili 21 2022
Rais wa DRC Félix Tshisekedi akikaribishwa na mwenyeji wake rais wa Kenya Uhuru Kenyatta jijini Nairobi Kenya, aprili 21 2022 © Ikulu ya Nairobi Kenya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.