Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wahamiaji haramu walioko ulaya kuhamishiwa nchini Rwanda, M23 kuaachia mateka wa FARDC

Imechapishwa:

Makala ya wiki hii imeangazia mambo mbali mbali ikiwemo makubaliano kati ya Rwanda na Uingereza kuhusu kuwahamisha wahamiaji haramu walioko Ulaya hadi nchini Rwanda, wapiganaji waasi wa M23 waahidi kuwaachia huru wanajeshi watatu wa jeshi la serikali waliotekwa nyara wakati wa mapigano huko Rutshuru mashariki ya DRC, na matukio mengine kwenye mataifa kadhaa ya ulimwengu. Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka kusikiliza zaidi. 

Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwa na waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson wakati wa mkutano wa UK Africa Investment Summit jijini London January 20 2020.
Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwa na waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson wakati wa mkutano wa UK Africa Investment Summit jijini London January 20 2020. AP - Eddie Mulholland
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.