Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Maandamano nchini Sudan, mauaji DRC na kirusi kipya chatokea afrika kusini
Imechapishwa:
Cheza - 20:10
Makala hii imeangazia maandamano yanayoendelea kushuhudiwa nchini Sudan ambako wananchi pamoja na wawakilishi wa asasi za kiraia wamepinga makubaliano kati ya waziri mkuu Abdallah Hamdok na utawala wa kijeshi nchini humo, huko DRC miili ya watu 20 yaligundulika huko Ituri, kimataifa Uingereza na mataifa ya dunia yapiga marufuku safari za ndege kutoka mataifa ya Afrika na sasa Shirika la afya duniani (WHO) limetangaza aina mpya ya kirusi cha corona kuwa "ya kutia hofu" na kuipatia jina Omicron...Ni miongoni mwa mengi yaliyoangaziwa.