Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Umoja wa mataifa wasikitishwa na hali nchini Sudan

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia vurugu zinazoshuhudiwa nchini Sudan baada ya kufanyika mapinduzi ya kijeshi na baadaye kuachiwa huru kwa waziri mkuu Abdallah Hamdok ambapo Umoja wa mataifa, Umoja wa Afrika, zimelaani hali hiyo ambapo maandamano yameendelea nchini humo. Huko DRC tumeangazia kuhusu kuapishwa kwa mwenyekiti mpya wa CENI Denis Kadima anayepingwa na dhehebu la kikatoliki na lile la kiprotestanti pamoja na mambo mengine yaliyojiri duniani.

Waziri mkuu wa Sudan Abdallah Hamdok
Waziri mkuu wa Sudan Abdallah Hamdok © Ebrahim HAMID
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.