Pata taarifa kuu
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Kenya na Malawi zaimarisha ushirikiano wao, rais wa DRC amwidhinisha mkuu mpya wa CENI

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia hatua ya rais wa DRC Felix Tshisekedi kumwidhinisha Denis Kadima kuwa mwenyekiti mpya wa tume ya uchaguzi CENI pamoja na wajumbe 12 ikitarajiwa kwamba upinzani utatoa majina ya wajumbe watatu ili kukamilisha orodha ya wajumbe 15. Kenya na Malawi zilitiliana saini makubaliano kadhaa ikiwemo ya kibiashara na usalama pamoja na mambo mengine mengi..Karibu kuungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi

Jengo la Ofisi za tume ya uchaguzi nchini DRC Ceni jijini Kinshasa.
Jengo la Ofisi za tume ya uchaguzi nchini DRC Ceni jijini Kinshasa. Caroline Thirion / AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.