Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

AFCON 2024 : DRC kucheza dhidi ya Afrika Kusini katika nafasi ya tatu

Imechapishwa:

Miongoni mwa taarifa kuu tutakazozianhazia ni pamoja na fainali ya kombe la mataifa ya bara afrika AFCON kuchezwa hapo kesho mwenyeji Ivory coast wakipambana na Nigeria. Mchezaji wa tenisi nambari moja barani afrika Ons Jabeur kushindwa katika mashindano ya Abu dhabi na fainali ya kombe la mataifa ya bara Asia kuchezwa leo.

Super Eagles ilicheza fainali ya mwisho ya AFCON mnamo mwaka  2013... nchini Afrika Kusini.
Super Eagles ilicheza fainali ya mwisho ya AFCON mnamo mwaka 2013... nchini Afrika Kusini. © AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.