Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Kombe la dunia la mchezo wa raga, laanza nchini Ufaransa

Imechapishwa:

Tuliyokuandalia ni pamoja na kuanza kwa  Kombe la Dunia katika  mchezo wa raga nchini Ufaransa, Tanzania kufuzu Kombe la mataifa ya Afrika mchezo wa soka mwaka 2023 na Rwanda yaondolewa  kwenye mashindano ya voliboli barani Afrika.

Mechi ya ufunguzi kati ya Ufaransa na New Zealand katika uwanja wa Stade de France 08/09/2023.
Mechi ya ufunguzi kati ya Ufaransa na New Zealand katika uwanja wa Stade de France 08/09/2023. AP - Lewis Joly
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.