Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Morocco mabingwa wa taji la vijana wasiozidi miaka 23 Afrika

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na Morocco kushinda ubingwa wa kombe la Mataifa ya Afrika U23, timu ya soka ya wanawake ya Afrika Kusini Banyana Banyana yafanya  uamuzi wa kuelekea Newzealand kwa ajili ya michuano ya Kombe la dunia baada ya kusuluhisha mzozo wa malipo. 

Morocco baada ya kushinda taji la vijana wasiozidi miaka 23
Morocco baada ya kushinda taji la vijana wasiozidi miaka 23 © CAF_Online
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.