Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Tennis: Morocco mabingwa wa taji la Billie Jean King

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia Jumamosi hii, ni pamja na Morocco yashinda  taji la tenisi Billie Jean King  barani Afrika , uchambuzi wa mechi za kufuzu Kombe la EURO na Kombe la mataifa ya Afrika mwaka ujao, kocha Nabi kuondoka Yanga na matokeo ya riadha Oslo Diamond League.

Washindi wa taji la Billie Jean King Cup 2023 jijini Nairobi, Juni 17 2023
Washindi wa taji la Billie Jean King Cup 2023 jijini Nairobi, Juni 17 2023 © Tennis Kenya
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.