Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Faith Kipyegon avunja rekodi ya dunia kwenye mbio za Mita 5,000

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na Mkenya Faith Kipyegon kuvunja rekodi ya dunia katika  mbio za Mita 5,000 katika mashindano ya riadha ya Diamond League jijini Paris, Iga Swiatek ashinda tena taji la French Open kwenye mashindano ya Tennis na fainali ya klabu bingwa barani Ulaya, kati ya Manchester City na Inter Milan.

Faith Kipyegon aliyevunja rekodi ya dunia katika  mbio za Mita 5,000 kwa upande wa wanawake katika mashindano ya riadha ya Diamond League jijini Paris.
Faith Kipyegon aliyevunja rekodi ya dunia katika  mbio za Mita 5,000 kwa upande wa wanawake katika mashindano ya riadha ya Diamond League jijini Paris. REUTERS - CIRO DE LUCA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.