Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Manchester City mabingwa wa taji la FA nchini Uingereza

Imechapishwa:

Kocha wa klabu ya Manchester City nchini Uingereza, Pep Guardiola ameiongoza klabu yake kuishinda Manchester United mabao 2-1 katika fainali ya FA. Fainali ya pili ya shirikisho barani Afrika kati ya USM Algier na Yanga kutoka Tanzania, matukio ya riadha na Tennis ni miongoni mwa yale tuliyokuadalia kwenye Makala ya leo.

Kocha wa  Manchester City Pep Guardiola
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola AP - Alastair Grant
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.