Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Bayern Munich mabingwa wa ligi mara ya 11

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na maandalizi ya fainali ya kwanza kuwania taji la Shirikisho barani Afrika kati ya Yanga SC ya Tanzania na USM Alger, ya Algeria. Vituo vya kukuza soka nchini Rwanda, vinavyofadhiliwa na klabu ya Ufaransa ya Paris Saint-Germain na Bayern Munich yashinda taji lake ya 11 katika ligi ya Bundesliga nchini Ujerumani.

Bayern Munich yashinda taji la ligi kuu ya soka nchini Ujerumani Bundesliga kwa mara ya 11
Bayern Munich yashinda taji la ligi kuu ya soka nchini Ujerumani Bundesliga kwa mara ya 11 © FCBayernEN
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.