Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Omanyala awika mashindano ya riadha ya Kip Keino Classic jijini Nairobi

Imechapishwa:

Mkenya Ferdinand Omanyala ameshinda mbio za Mita 100 katika mashindano ya riadha ya Kip Keino Classic yaliyofanyika jijini Nairobi, huku Mmarekani Sha'Carri Richardson naye akiibuka bingwa katika Mita 200 kwa upande wa wanawake.Tunachambua pia ligi ya soka nchini Rwanda,  kufukuzia ubingwa na mchuano wa watani wa jadi nchini Kenya, kati ya Gor Mahia na AFC Leopards.

Mwanariadha wa Kenya Ferdinand Omanyala, bingwa wa Afrika na Jumuiya ya Madola mbio za Mita 100
Mwanariadha wa Kenya Ferdinand Omanyala, bingwa wa Afrika na Jumuiya ya Madola mbio za Mita 100 AFP - YASUYOSHI CHIBA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.