Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Wanariadha wajipima nguvu katika mashindano ya Diamond League

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na matokeo na uchambuzi mashindano ya riadha ya Diamond League, kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wasiozidi miaka 17 na maendeleo ya ligi kuu za soka katika nchi za Afrika Mashariki na Kati.

Dina Asher-Smith akiongoza mbio za Mita 200 katika mashindano yaliyopita ya Diamond League
Dina Asher-Smith akiongoza mbio za Mita 200 katika mashindano yaliyopita ya Diamond League AFP/File
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.