Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Simba SC yaondolewa kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na  kuanza kwa kombe la mataifa ya Afrika CHAN kwa vijana wasiozidi miaka 17, Simba kuondolewa kwenye mashindano ya CAF, Kenya yashinda Kombe la dunia katika mchezo wa wavu na uchambuzi wa mataifa ya  Kenya, Uganda na Tanzania kuomba kuwa wenyeji wa michuano ya AFCON 2027.

Mechi kati ya Wydad Casablanca na Simba SC, Aprili 28 2023
Mechi kati ya Wydad Casablanca na Simba SC, Aprili 28 2023 © AFP / FADEL SENNA
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.