Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Mechi za robo fainali klabu bingwa Afrika zashika kasi

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja  na shirikisho la soka nchini Kenya FKF limeitaka bunge la Kenya kutunga  sheria dhidi ya wapangaji mechi, uchambuzi wa mechi za robo fainali mashindano ya vilabu bingwa barani Afrika, matokeo ya riadha wiki hii na tuzo ya RFI na France 24 kuhusu mchezaji wa zamani wa Cameroon Marc Vivien Foe.

Mashabiki wa klabu ya Wydad Casablanca.
Mashabiki wa klabu ya Wydad Casablanca. AFP - -
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.