Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Ligi kuu Tanzania bara: Nani ataibuka mshindi kati ya Simba na Yanga ?

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na uchambuzi wa mechi ya watani wa jadi kati ya Yanga dhidi ya Simba kuwania taji la soka Tanzania bara, sakata la wachezaji Sadio Mane na Achraf Hakimi, CAF yampiga marufuku refarii wa Botswana na kocha wa Ethiopia ameacha kuifunza Ethiopia.

Mechi iliyopita kati ya Simba FC ikimenyana na Yanga FC katika mchuano muhimu wa ligi kuu nchini Tanzania
Mechi iliyopita kati ya Simba FC ikimenyana na Yanga FC katika mchuano muhimu wa ligi kuu nchini Tanzania shaffihdauda.co.tz
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.