Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Ripoti kuhusu hali ya wanamichezo wanaotumia dawa zilizozuiwa, yatolewa Kenya

Imechapishwa:

Miongoni mwa yale tuliyokuandalia ni pamoja na Kenya kutoa ripoti ya kupambana na visa vya dawa zilizopigwa marufuku  za kusisimua misuli kwa wanamichezo na hali ya michuano ya soka, kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika na ile ya kufuzu kwa AFCON 2024.

Maandamano yaliyopita katika Ofisi za Shirikisho la soka nchini Kenya mwaka 2015
Maandamano yaliyopita katika Ofisi za Shirikisho la soka nchini Kenya mwaka 2015 Reuters/Noor Khamis
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.